Posted on: August 25th, 2025
Timu ya kandanda ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ imeendelea kuonesha makali yake katika mashindano ya SHIMISEMITA yanayoendelea jijini Tanga, baada ya kufuzu hatua ya robo fainali kwa...
Posted on: August 24th, 2025
Wanariadha wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ wameandika historia mpya baada ya kutwaa medali katika mbio za kupokezana vijiti (relay) kwenye mashindano ya SHIMISEMITA yanayoendelea jijini Tanga.
...
Posted on: August 23rd, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ imeendelea kung’ara katika mashindano ya Shirikisho la Michezo la Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) yanayoendelea jijini Tanga, baada ya timu zake zote mbili za...