Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ anawatangazia wananchi wote fursa ya kufungua na kusafisha mashamba pori ndani ya shamba la Bassotu Plantation.
Gharama: Tsh. 30,000/= kwa ekari (kwa misimu 2)
Wasilisha maombi yako kwa Afisa Mtendaji wa Kata husika au Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji.
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: +255 762 362 950
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.