Thursday 3rd, October 2024
@Wilaya ya Hanang
Makamu wa Rais Mhe. Samia Hassan Suluhu, tarehe 18 Novemba 2018 kuanzia asubuh saa mbili kamili (02:00 asubuhi) atafanya ziara yake Wilayani Hanang' ambapo atatembelea miradi mbali mbali ya maendeleo inayosimamiwa na Halmashari ya Wilaya ya Hanang' ikiwa ni pamoja na Mradi wa Soko la Kimkakati la Endagaw, Bweni la wasichana shule ya Sekondari Nangwa, Mradi mkubwa wa maji Basoto pamoja na kuhutubia mkutano wa Hadhara wa wananchi katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh.
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: 0787821459
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.