• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Fomu za Usajili wa malipo wa Kieletroniki

FOMU ZA USAJILI WA MALIPO WA KIELEKTRONIKI

(ELECTRONIC PAYMENT SYSTEM VENDOR REGITRATION FORM)

Fomu hii inawahusu:-

  • Watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’
  • “Suppliers” wote wanao / watakao hudumia  Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’

Kwanini kujisajili katika fomu hii.

  • Jisajili katika  fomu hii ili Halmashauri iweze kufanya malipo yako. Hii ni baada ya mfumo wa malipo kubadilika/ kuboreshwa.

JINSI YA KUJAZA FOMU HII:-

SEHEMU A (SECTION A)

Sehemu hii inakuhusu wewe mwenyewe mjazaji wa fomu.

  • Endapo wewe ni Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, weka tiki katika kibox cha “Modified”
  • Endapo wewe ni Supplier na ulishawahi kupokea malipo kutoka Halmashauri hii , weka tiki katika box “Modified”
  • Endapo wewe ni Supplier na hukuwahi  kupokea malipo kutoka Halmashauri hii , weka tiki katika box “New”

VENDOR FULL NAME

  • Jaza majina yako matatu yote kwa kirefu.
  • Usiweke alama zifuatazo ( ‘ - )

VENDOR ADDRESS

  • Jaza anuani yako kwa usahihi.

VENDOR CLASSIFICATION

  • Endapo wewe ni mwajiriwa,  weka tiki katika box “Employee”
  • Endapo wewe ni Supplier,  weka tiki katika box “Supplier”

Tax Identification Number

  • Endapo wewe ni mwajiriwa, jaza Cheque namba yako sehemu hii
  • Endapo wewe ni Supplier,  jaza TIN namba yako sehemu hii.

Vendor Bank Details:

Sehemu hii jaza taarifa zako za Benki unayopokelea fedha ama utakayotaka kupokelea fedha.

 Bank Name

  • Jaza jina la Benki kwa kirefu.

Account Name

  • Jaza majina matatu ya akaunti yako kwa usahihi kama yanavyosomeka katika akaunti yako ya Benki.

Bank Account Number

  • Jaza namba za Akaunti yako ya Benki kwa usahihi.

Branch

  • Jaza branchi ulikofungulia akaunti  yako ya Benki (Mfn. Mandela Brunch, Katesh Brunch, Mlimani City Brunch, Igunga Brunch, n.k)

Branch Location

  • Jaza sehemu ilipo branchi hiyo ya benki (Mfn. Katesh, Babati, Karatu, Siha n.k)

Branch Code (BIC Numbe)

  •  Jaza namba tatu za mwanzo za akaunti yako (Mfno Akaunti yangu ni 36004201884. Branch Code itakuwa 360 )

Account Type

  • Endapo wewe ni mtumishi,  weka tiki katika box “Saving”
  • Endapo wewe ni Supplier/ mfanyabiashara,  weka tiki katika box “Current”

Baada ya kujaza taarifa zako za Benki, weka saini yako pamoja na tarehe.

SEHEMU B (SECTION B)

Sehemu hii ijazwe na Meneja wa  Benki  unayotumia na kupigwa muhuri. Unaweza kupeleka katika branchi yoyote ya Benki hiyo iliyoko karibu nawe.

Baada ya fomu hii kusainiwa na Meneja wa Benki, leta fomu yako Halmashauri na kabidhi katika Ofisi ya Fedha ( Kwa Mr. Deo Ugulumo  0788588280 Mwasibu )

SEHEMU C (SECTION C) – Sehemu hii itashungulikiwa na ofisi ya Fedha baada ya kukabidhi fomu.


Fomu hii ichapishwe (Print) kwenye karatasi moja tu (Geuza karatasi)

Download Fomu yako hapa.Vendor Form.pdf


Matangazo

  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA HANANG 2023 December 03, 2022
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI III NA KADA YA DREVA II September 12, 2022
  • TANGAZO LA KUKODISHA SHAMBA LA GAWAL NA BASSOTU August 18, 2022
  • TANGAZO LA KUKODISHA SHAMBA LA GAWAL NA BASSOTU August 17, 2022
  • View All

Latest News

  • ZIARA YA MH WAZIRI WA NCHI OR TAMISEMI NDUGU INNOCENT BASHUNGWA KATIKA WILAYA YA HANANG

    September 26, 2022
  • MATOKEO YA USAILI KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI NA KADA YA DREVA II

    September 12, 2022
  • MKUU WA WILAYA YA HANANG BI JANETH MAYANJA AKIZINDUA ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI

    February 22, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA

    July 06, 2021
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: 0767286866

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.