• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

HANANG’ YAJIFUNZA MBINU ZA KISASA ZA UKUSANYAJI MAPATO JIJINI MWANZA

Posted on: June 10th, 2025

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ imefanya ziara maalum katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa lengo la kujifunza mbinu za kisasa na bora za ukusanyaji wa mapato ya ndani. Ziara hiyo ililenga hasa kuangazia namna ya uendeshaji wa stendi za mabasi kama chanzo muhimu cha mapato kwa halmashauri.

Katika ziara hiyo, wajumbe wa kamati hiyo wakiongozana na wataalamu wa Halmashauri, pamoja na wakuu wa idara na vitengo mbalimbali, walipata fursa ya kutembelea Stendi ya Mabasi ya Nyegezi. Walijifunza kwa vitendo jinsi mfumo wa ukusanyaji mapato unavyofanya kazi kwa ufanisi, pamoja na kupokea maelezo ya kina kutoka kwa Meneja wa stendi hiyo kuhusu taratibu, mifumo ya kidigitali inayotumika, na hatua zinazochukuliwa kuhakikisha uwazi na ufanisi katika ukusanyaji huo.

Meneja wa stendi ya Nyegezi alieleza jinsi mfumo wa uendeshaji wa stendi hiyo unavyosaidia kuongeza mapato ya halmashauri kwa njia ya uwazi, kuzuia mianya ya upotevu wa mapato, na kurahisisha upatikanaji wa takwimu kwa ajili ya mipango ya maendeleo. Wageni kutoka Hanang’ walionesha kuvutiwa na mifumo hiyo na kueleza kuwa wana nia ya kuiga baadhi ya mbinu hizo pindi watakaporejea kwao.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hanang’, Bi Teresia Irafay, ziara hiyo ni sehemu ya mkakati wa kujengea uwezo halmashauri hiyo katika kusimamia vyanzo vyake vya mapato kwa ufanisi. Ameeleza kuwa uboreshaji wa ukusanyaji wa mapato ni msingi wa utoaji wa huduma bora kwa wananchi, na kwamba halmashauri itaendelea kuwahamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika ulipaji wa kodi na tozo mbalimbali.

Kupitia ziara hii ya mafunzo, Hanang’ inalenga kuimarisha usimamizi wa rasilimali zake kwa kutumia mifumo ya kisasa na kushirikiana na halmashauri nyingine nchini ili kubadilishana uzoefu. Hatua hii inaonesha dhamira ya dhati ya viongozi wa Hanang’ kuboresha utendaji wa halmashauri na kuhakikisha kuwa wananchi wananufaika na huduma stahiki kutokana na mapato yao ya ndani.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WATUMISHI WA UMMA June 06, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAILI June 06, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - HANANG DC October 22, 2024
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA HANANG 2023 December 03, 2022
  • View All

Latest News

  • HANANG YATOA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1.5 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    June 26, 2025
  • WANAWAKE MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUPITIA JUKWAA LA UJASIRIAMALI

    June 25, 2025
  • WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA ALIZETI WAJA NA MBINU THABITI NA RAFIKI WAKUTANA NA MKURUGENZI IRAFAY.

    June 16, 2025
  • KIKAO CHA DED HANANG NA UONGOZI WA WAMILIKI WA MABASI CHAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA HUDUMA KATIKA STENDI MPYA YA KATESH.

    June 16, 2025
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: +255 762 362 950

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.