• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MICHEZO: DED HANANG AWAAGA VIJANA 120 WANAOENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA UMITASHUMTA BABATI

Posted on: May 29th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Teresia Irafay, ameiaga rasmi timu yake ya wanafunzi 120 watakaoiwakilisha wilaya ya Hanang kwenye mashindano ya michezo ya shule za msingi (UMITASHUMTA) ngazi ya mkoa, yatakayofanyika kimkoa katika Wilaya ya Babati.

Katika hafla fupi lakini yenye hamasa, iliyofanyika Mei 28, 2025, katika shule ya msingi Katesh A, Irafay amewaaga vijana hao waliopatikana kupitia mchujo wa makini kwenye shule za msingi wilayani hapa.

“Ninajivunia kuona kizazi cha leo kinapata nafasi ya kuonyesha vipaji vyake katika medani ya michezo. Nidhamu yenu itawavusha mbali zaidi ya ushindi wa Babati,” alisema Irafay huku akiahidi kuwa halmashauri itaendelea kuwaunga mkono washiriki hao kwa hali na mali.

Irafay pia amewapongeza walimu kwa kazi kubwa ya kuandaa timu hiyo, akieleza kuwa maandalizi madhubuti ni msingi wa mafanikio akisisitiza kuwa michezo ni zaidi ya ushindani na ni daraja la kukuza nidhamu, umoja, na afya ya mwili na akili kwa watoto.

Kwa upande wake, Afisa Elimu Msingi wa Wilaya ya Hanang, Geofrey Abayo, ametoa shukrani kwa Mkurugenzi  kwa kuhakikisha vifaa vya michezo vinapatikana kwa wakati. “Motisha hii imewajengea wanafunzi hali ya kujiamini. Tuna imani tutarejea Hanang tukiwa tumebeba vikombe,” alisema Abayo kwa matumaini makubwa.

Mashindano ya UMITASHUMTA kwa wilaya ya Hanang, mwaka huu si tu ni nafasi ya kushindana, bali ni mwendelezo wa uwekezaji wa wilaya katika kukuza michezo kuanzia ngazi ya shuleni.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WATUMISHI WA UMMA June 06, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAILI June 06, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - HANANG DC October 22, 2024
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA HANANG 2023 December 03, 2022
  • View All

Latest News

  • HANANG YATOA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1.5 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    June 26, 2025
  • WANAWAKE MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUPITIA JUKWAA LA UJASIRIAMALI

    June 25, 2025
  • WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA ALIZETI WAJA NA MBINU THABITI NA RAFIKI WAKUTANA NA MKURUGENZI IRAFAY.

    June 16, 2025
  • KIKAO CHA DED HANANG NA UONGOZI WA WAMILIKI WA MABASI CHAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA HUDUMA KATIKA STENDI MPYA YA KATESH.

    June 16, 2025
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: +255 762 362 950

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.