• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI AWAPONGEZA WASIMAMIZI WA MIRADI, AHIMIZA UBORA NA UTUNZAJI WA NYARAKA.

Posted on: May 26th, 2025

Mkrugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Teresia Irafay, leo ameongoza kikao cha tathmini ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo tofauti ya wilaya hiyo.

Kikao hicho kililenga kutathmini hatua zilizofikiwa, changamoto zilizopo na kuweka mikakati ya kuhakikisha miradi yote inakamilika kabla ya mwisho wa mwaka huu wa fedha.

Akizungumza katika kikao hicho, Irafay amewatia moyo wasimamizi wa miradi kwa juhudi wanazozifanya kuhakikisha kuwa miradi inatekelezwa kwa wakati na kwa kuzingatia viwango vya ubora.

“Nawapongeza sana kwa kazi kubwa mnayofanya. Hata hivyo, nawahimiza kuendelea kuzingatia ubora, kuweka nyaraka zote muhimu na kuhakikisha miradi inatunzwa ipasavyo mara tu inapokamilika,” alisema Mkurugenzi Irafay.

Aidha amesema wasimamizi ambao taarifa zinaonesha ujenzi uko chini ya 50% wasipomaliza miradi hiyo kabla ya mwisho wa mwezi Juni 2025 atawawajibisha ipasavyo.

Kikao hicho, ambacho ni cha pili kufanyika ndani ya kipindi cha miezi mitatu, ni sehemu ya mkakati wa halmashauri kuhakikisha kuwa hakuna mradi unaochelewa au kuachwa njiani, hususan ikizingatiwa kuwa mwaka wa fedha unakaribia kuisha.

Baadhi ya watendaji wa ngazi ya vijiji na kata wamemshukuru Mkurugenzi kwa kuwa karibu nao na kwa kuwapatia moyo kupitia vikao vya aina hiyo.

“Kwa kweli kikao hiki kimetupa ari mpya. Tunajisikia kuthaminiwa na tunajua kazi tunayofanya inaonekana. Tunamshukuru Mkurugenzi kwa kutusikiliza na kututia moyo,” alisema Mwalimu Mwangesi wa Bassotu.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WATUMISHI WA UMMA June 06, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAILI June 06, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - HANANG DC October 22, 2024
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA HANANG 2023 December 03, 2022
  • View All

Latest News

  • HANANG YATOA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1.5 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    June 26, 2025
  • WANAWAKE MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUPITIA JUKWAA LA UJASIRIAMALI

    June 25, 2025
  • WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA ALIZETI WAJA NA MBINU THABITI NA RAFIKI WAKUTANA NA MKURUGENZI IRAFAY.

    June 16, 2025
  • KIKAO CHA DED HANANG NA UONGOZI WA WAMILIKI WA MABASI CHAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA HUDUMA KATIKA STENDI MPYA YA KATESH.

    June 16, 2025
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: +255 762 362 950

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.