• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC SENDIGA AONGOZA ZOEZI LA UTIAJI SAINI MAKTABA WA UJENZI WA NYUMBA ZA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG

Posted on: February 29th, 2024

ZOEZI LA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA NYUMBA ZA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG KATI YA SERIKALI (HALMASHAURI) NA SUMA JKT

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga Tarehe 29.02.2024  ameongoza Zoezi la utiaji saini mkataba wa ujenzi wa nyumba za waathirika wa maporomoko ya tope, mawe, na magogo kati ya serikali (Halmashauri na Suma JKT

Akizungumza mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo Rc Sendiga ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Kazi Kubwa Iliyofanyika tangu yalipotokea Maafa hayo mapema Mwezi Desemba Mwaka 2023.

'Leo tunashuhudia sote zoezi hili muhimu likifanyika mbele yetu la kuwapatia ndugu zetu waliopata maafa nyumba bora na zakisasa ikiwa ni muendelezo wa jitihada kubwa zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia kwa Upendo wake Mkubwa Kwa wananchi wake' aliongeza Rc Sendiga

Aidha hatua hii inakuja mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Miundombinu muhimu katika eneo hili ikiwa ni pamoja Umeme, Maji, huduma ya Afya nk.


Jumla ya Nyumba 108 zinatarajiwa kujengwa kwenye maeneo Rasmi yaliyotengwa na serikali katika kata ya Mogitu, kijiji cha Gidagamowd kitongoji cha Waret.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WATUMISHI WA UMMA June 06, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAILI June 06, 2025
  • TANGAZO: MAUZO YA DENGU NA MBAAZI KUPITIA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI MWAKA 2025 July 29, 2025
  • TANGAZO: FURSA YA USAFISHAJI WA MASHAMBA PORI September 04, 2025
  • View All

Latest News

  • WAKULIMA WA HANANG WANUFAIKA NA MGAO WA MATREKTA 20 YA MKOPO KUPITIA KANU EQUIPMENT NA PASS LEASING

    October 16, 2025
  • WASIMAMIZI WA MIRADI NGAZI YA KATA NA VIJIJI WAJENGEWA UWEZO KUPITIA MAFUNZO YA MFUMO WA PLANREP

    October 16, 2025
  • WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA: HANANG’ YAANZA KLINIKI YA UTUMISHI KUSIKILIZA NA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI VIJIJINI

    October 07, 2025
  • HUDUMA BORA NI UZALENDO: DED IRAFAY ATOA WITO KWA WATUMISHI KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UADILIFU NA UPENDO

    October 07, 2025
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: +255 762 362 950

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.