• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI HANANG YADHAMIRIA KUIMARISHA USAFI WA MAZINGIRA KWA WAKAZI WA WARET

Posted on: May 19th, 2025

Serikali ya Wilaya ya Hanang imesema itaendelea kushirikiana na wadau na wananchi kuhakikisha wakazi wa nyumba 109 za Waret wanaishi katika mazingira safi na salama.

Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu wa wilaya hiyo, Ayoub Semdumbe, wakati wa zoezi la utoaji wa elimu ya usafi wa mazingira nyumba kwa nyumba kwa wakazi wa kitongoji hicho.

Kwa upande wao, baadhi ya wakazi wa Waret wameiomba serikali kuchukua hatua kwa watu ambao hadi sasa bado hawajahama kuingia kwenye nyumba walizopewa na serikali, wakisema kuchelewa kwao kunakwamisha juhudi za kuhakikisha usafi wa mazingira unazingatiwa.

Kitongoji cha Waret, kilichopo katika Kijiji cha Gidagamowd, Kata ya Mogitu, ni makazi mapya kwa waathirika wa maporomoko ya tope yaliyotokea Desemba 3, 2023, wilayani Hanang, ambapo nyumba 109 zilijengwa kwa ajili ya familia zilizopoteza makazi yao.

Wakazi wa eneo hilo wameendelea kuahidi kushirikiana na serikali katika kulinda mazingira, huku wakihimiza umoja kwa ajili ya ustawi wa jamii hiyo mpya.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - HANANG DC October 22, 2024
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA HANANG 2023 December 03, 2022
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI III NA KADA YA DREVA II September 12, 2022
  • TANGAZO LA KUKODISHA SHAMBA LA GAWAL NA BASSOTU August 18, 2022
  • View All

Latest News

  • MAAFISA ELIMU KATA WAPANGIWA MIKAKATI YA KUINUA UFAULU NA KUDHIBITI UTORO.

    May 31, 2025
  • USAFI NA UTULIVU MJINI: MAMLAKA YA MJI MDOGO KATESH YAJIZATITI KUBORESHA MANDHARI NA USALAMA WA MJI

    May 31, 2025
  • MICHEZO: DED HANANG AWAAGA VIJANA 120 WANAOENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA UMITASHUMTA BABATI

    May 29, 2025
  • MKURUGENZI AWAPONGEZA WASIMAMIZI WA MIRADI, AHIMIZA UBORA NA UTUNZAJI WA NYARAKA.

    May 26, 2025
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: +255 762 362 950

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.