• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

USAFI NA UTULIVU MJINI: MAMLAKA YA MJI MDOGO KATESH YAJIZATITI KUBORESHA MANDHARI NA USALAMA WA MJI

Posted on: May 31st, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Teresia Irafay, ametoa wito kwa wananchi kuendeleza utamaduni wa kufanya usafi bila kushurutishwa, hasa katika maeneo ya biashara na mijini, akisisitiza kuwa mazingira safi huvutia wateja, hupendezesha mji na kusaidia kudhibiti magonjwa ya mlipuko.

Irafay ametoa rai hiyo aliposhiriki mkutano wa Baraza la Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katesh, uliojadili masuala mbalimbali ikiwemo usafi wa mazingira, kudhibiti uhalifu na kuhamasisha maendeleo ya mji kwa ujumla.

Aidha, ametoa onyo kwa wamiliki wa maduka ya bidhaa ngumu wanaokiuka masharti ya leseni kwa kuuza mboga mboga na matunda, akisema hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao akisisitiza kuwa leseni za biashara hizo zitafungiwa kwa mujibu wa taratibu, kwani hali hiyo inachangia uchafuzi wa mazingira na kuvuruga mpangilio wa biashara katika mji.

Katika mkutano huo, Afisa Mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo Katesh, Daudi Manda, kwa kushirikiana na wajumbe wa baraza, walikubaliana kuchukua hatua madhubuti dhidi ya mifugo inayozurura au kuchungwa katikati ya mji.

Azimio hilo linakwenda sambamba na marufuku ya wazi dhidi ya ufugaji holela katika maeneo ya mamlaka ya mji huo ambapo Manda ameeleza kuwa hatua hizo zinalenga kulinda heshima ya mji na kuhakikisha mazingira yanakuwa safi, salama na yenye hadhi inayolingana na Mamlaka ya Mji Mdogo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - HANANG DC October 22, 2024
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA HANANG 2023 December 03, 2022
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI III NA KADA YA DREVA II September 12, 2022
  • TANGAZO LA KUKODISHA SHAMBA LA GAWAL NA BASSOTU August 18, 2022
  • View All

Latest News

  • HANANG' YAFANYA BONANZA LA USAFI WA MWISHO WA MWEZI

    June 01, 2025
  • MAAFISA ELIMU KATA WAPANGIWA MIKAKATI YA KUINUA UFAULU NA KUDHIBITI UTORO.

    May 31, 2025
  • USAFI NA UTULIVU MJINI: MAMLAKA YA MJI MDOGO KATESH YAJIZATITI KUBORESHA MANDHARI NA USALAMA WA MJI

    May 31, 2025
  • MICHEZO: DED HANANG AWAAGA VIJANA 120 WANAOENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA UMITASHUMTA BABATI

    May 29, 2025
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: +255 762 362 950

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.