• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

UZINDUZI WA KAMATI ZA MAZINGIRA KIWILAYA KATIKA KATA YA GIDAHABABIEG

Posted on: May 26th, 2018

Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Hanang Ndg BRYCESON P. KIBASA  amezindua Kamati za Mazingira Kiwilaya katika Kata ya Gidahababieg Wilaya ya Hanang na kuzitaka Kamati hizo kufanya kazi kwa mujibu wa sheria kanuni na taratibu ili kuhakikisha mazingira hayaharibiwi na shughuli za binadamu

akizungumza na Viongozi wa Serikali za Kata kaimu afisa mazingira wa wilaya hiyo Bw SHUSHUDA ameeleza kuwa kamati hizo zitafanya shughuli zake kwa mujibu wa sheria ya serikali za mitaa ya mwaka 1982 kifungu cha (1) cha fungu la 31.

pia amewataka wananchi wote kwa ujumla kuhakikisha wanayatunza mazingira na kuhakikisha kila mwananchi anayeishi tanzania anayatunza mazingira kwa mujibu wa sheria

Kata hiyo ndio imekuwa kata ya kwanza kwa uundaji wa kamati hiyo ya mazingira kwa wilaya ya Hanang hivyo mkurugenzi amewapongeza na kuwaahidi ushirikiano mkubwa katika miradi ya maendeleo ikiwemoAfya na Elimu Miundombinu ya barabara na Maji.


           Diwani wa Kata ya Gidahababieg akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji 

katika Kata ya Gidahababieg 




 

Afisa Mazingira Wilaya Ndg Shushuda akitoa Elimu ya Mazingira 

wakati wa Uzinduzi wa kamati za mazingira 




Diwani Wa kata hiyo Mhe HASSAN HILBAGIROY (MZEE WA DAWA) 

akitoa neno la shukurani kwa Mkurugenzi Mtendaji  Ndg KIBASA.



Viongozi wa Kata wakisikiliza maelekezo juu ya utunzaji wa mazingira 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - HANANG DC October 22, 2024
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA HANANG 2023 December 03, 2022
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI III NA KADA YA DREVA II September 12, 2022
  • TANGAZO LA KUKODISHA SHAMBA LA GAWAL NA BASSOTU August 18, 2022
  • View All

Latest News

  • HANANG YANG'ARA UMITASHUMTA 2025 NGAZI YA MKOA, YAONDOKA NA VIKOMBE SITA

    June 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA HANANG YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI.

    June 03, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA “MAMA SAMIA” WAANZA KUTOA HUDUMA HANANG KWA SIKU SABA.

    June 02, 2025
  • HANANG' YAFANYA BONANZA LA USAFI WA MWISHO WA MWEZI

    June 01, 2025
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: +255 762 362 950

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.