• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WADAU WA MAENDELEO WAKABIDHI SHULE MPYA DIRMA.

Posted on: May 25th, 2025

Shirika la ECLAT Development Foundation na Shirika la UPENDO kutoka Ujerumani, limekabidhi rasmi Shule ya Msingi Boboka kwa wananchi wa Kata ya Dirma, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha huduma za elimu katika maeneo ya vijijini.

Shule hiyo mpya inajumuisha madarasa mawili, ofisi ya walimu, choo chenye matundu 16, pamoja na mfumo wa uvunaji maji ya mvua. Ujenzi wake umefadhiliwa na mashirika hayo kwa lengo la kusaidia watoto kupata elimu katika mazingira bora na salama.

Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Mhe. Almishi Issa Hazali, ameishukuru ECLAT Foundation kwa kushirikiana na serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo, akieleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewekeza zaidi ya shilingi bilioni 84 katika miradi mbalimbali wilayani hapa, huku Kata ya Dirma ikipokea zaidi ya shilingi milioni 700.

Mkurugenzi wa ECLAT Foundation, Peter Toima, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara, amesema ujenzi wa shule hiyo umezingatia changamoto za watoto wa eneo hilo kutembea umbali mrefu kufuata elimu, hivyo mradi huo unalenga kuondoa kikwazo hicho, akitoa wito kwa serikali kuhakikisha shule hiyo inasajiliwa haraka pamoja na kupeleka huduma muhimu kama umeme, maji safi na barabara.

Wananchi wa Dirma wamepongeza juhudi za serikali wakieleza kuwa shule hiyo imekuja wakati muafaka na inatarajiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa changamoto za elimu kwa watoto wa eneo hilo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WATUMISHI WA UMMA June 06, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAILI June 06, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - HANANG DC October 22, 2024
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA HANANG 2023 December 03, 2022
  • View All

Latest News

  • HANANG YATOA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1.5 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    June 26, 2025
  • WANAWAKE MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUPITIA JUKWAA LA UJASIRIAMALI

    June 25, 2025
  • WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA ALIZETI WAJA NA MBINU THABITI NA RAFIKI WAKUTANA NA MKURUGENZI IRAFAY.

    June 16, 2025
  • KIKAO CHA DED HANANG NA UONGOZI WA WAMILIKI WA MABASI CHAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA HUDUMA KATIKA STENDI MPYA YA KATESH.

    June 16, 2025
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: +255 762 362 950

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.