Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mh. Dkt. Joel N. Bendera afanya ziara katika Wilaya ya Hanang' nakukutana na walimu wa shule za Msingi na Sekondari katika ukumbi Mkuu wa Halmashauri, na baadaye kufanya mkutano wa hadhara na Wananchi wa Wilaya ya Hanang' katika viwanja vya soko kuu la Mji wa Katesh.
Taarifa kamili inaandaliwa..........
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: 0787821459
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.