Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mhe. Chelestino Mofuga akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa wilaya ya Hanang Mhe. Joseph Mkirikiti mpakani mwa Hanang na Mbulu katika kata ya Garawja.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Hanang mara baada ya kukabidhiwa Mwenge wa Uhuru kutoka Wilaya ya Mbulu
kiongozi wa mbio za mwenge akipata maelekezo juu ya upimaji shirikishi na urasimishaji ardhi katika kata ya Gitting Wilaya ya Hanang
kiongozi wa Mbio za Mwenge akizindua Upimaji Shirikishi na Urasimishaji Ardhi wilaya ya Hanang
kiongozi wa Mbio za Mwenge akikagua kituo cha Afya katika kata ya Simbay
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: 0787821459
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.