Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang' anapenda kuwatangazia waombaji wote sabini na sita (76) waliotimiza vigezo vya maombi ya nafasi ya Mtendaji wa Kijiji, kufika kufanya usaili wa kuandika tarehe 07 Mei, 2018 saa Mbili kamili (02:00 am) asubuhi, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang.
Bofya hapo chini kupata Orodha ya majina walioitwa.
Orodha ya majina walioitwa kwenye usaili.pdf
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: 0787821459
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.