Halmashauri ya Wilaya ya Hanang' kupitia Wakala - TIBAIGWA AUCTION MART & COMPANY LIMITED inapenda kuwatangazia wananchi wote (Ndani na nje ya Wilaya ya Hanang') kuwa kutakuwa na mnada wa Hadhara wa Magari utakaofanyika tarehe 04 na tarehe 05 mwezi Desemba 2018 saa nne asubuhi (04:00 asubuhi). Mnada huo utafanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Idara ya Maji, Idara ya Kilimo na Nangwa.
Nyote mnakaribishwa.
Pakua hapo chini...
Tangazo la Mnada wa Magari.pdf
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: 0787821459
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.