Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Hanang anapenda kuwatangazia wananchi wote nafasi 7 za Afisa Mtandaji wa Kijiji. Aidha amewataka Watanzania wenye sifa zilizotajwa katika Tangazo hili wawasilishe maombi yao Halmashauri ya Wilaya ya Hanang.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16 Aprili 2020.
Bofya hapa kupakua tangazo -> fasi za Kazi.pdf
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: 0787821459
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.