Sunday 22nd, December 2024
@Viwanja vya shule ya Msingi Katesh A
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Wilayani Hanang' (Mei Mosi)
Halmashauri ya Wilaya ya Hanang itafanya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh A. Maadhimisho hayo yataanza saa tatu na nusu asubuhi (09:30am) kwa maandamano yatakayoanza katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya hadi katika viwanja vya maadhimisho shule ya Msingi Katesh A.
Aidha kutakuwa na maonyesho na huduma mbalimbali zitakazotolewa na Watumishi wa Umma pamoja na Mashirikia binafsi sambamba na burudani mbalimbali zitatumbuiza katika Sherehe hizo
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: 0787821459
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.