Sunday 22nd, December 2024
@Ukumbi mdogo wa Idara ya Maji Halmashauri ya Wilaya ya Hanang
Mfumo mpya wa PlanRep iliyoboreshwa yashika kasi Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
Baada ya mafunzo kutolewa kwa watumiaji wote wa mfumo ulioboreshwa wa maandalizi ya Bajeti (PlanRep), Halmashauri ya Wilaya ya Hanang inaendelea kuandaa bajeti yake ya mwaka wa Fedha 2018/2019 kupitia mfumo huo huku waandaaji wa Bajeti wakifurahia mfumo huo mpya.
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: 0787821459
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.