Sunday 22nd, December 2024
@SEKONDARI YA GIDAHABABIEG
Siku ya tarehe 26/05/2018 Jumamosi kutakuwa na uzinduzi wa Kamati za Mazingira za Vitongoji zitakazo fanyika kiwilaya katika kata ya Gidahababieg Wilaya ya Hanang.
Pamoja na zoezi hilo la Uzinduzi, Pia taarifa ya hali ya mazingira ya kata hiyo itasomwa.
mgeni rasmi: MKURUGENZI MTENDAJI
mahali: shule ya sekondari GIDAHABABIEG
MUDA: Saa 10:00 mpaka Saa 12:00
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: 0787821459
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.