Uzinduzi wa Chanjo ya kuzuia Saratani ya Mlango wa Kizazi (HPV).
Wilaya ya Hanang leo imefanya uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Saratani ya Mlango wa Kizazi katika Kituo cha Afya Kateshi. Uzinduzi huo umefanyika ikiwa ni pamoja na kutoa chanjo kwa wanafunzi wenye umri wa miaka 14 ( Waliozaliwa kati ya Januari - Aprili 2004). Aidha Zoezi hili limefanyika katika vituo vyote (24) vya kutolea Huduma ya Afya vilivyomo ndani ya Wilaya ya Hanang.
Taarifa zaidi inaedelea kupakiwa
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: 0787821459
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.