• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KIKAO CHA DED HANANG NA UONGOZI WA WAMILIKI WA MABASI CHAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA HUDUMA KATIKA STENDI MPYA YA KATESH.

Posted on: June 16th, 2025

Katika lengo la kuboresha utoaji wa huduma katika stendi mpya ya mabasi ya Katesh, Halmashauri ya Wilaya ya Hanang imekutana na uongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Mkoa wa Manyara (MABOA) kujadili changamoto, fursa na mikakati ya usimamizi bora wa kituo hicho cha kisasa.

Akizungumza katika kikao hicho, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Teresia Irafay, amesisitiza dhamira ya halmashauri kuendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya usafiri ili kuhakikisha maboresho ya stendi hiyo yanakwenda sambamba na mahitaji halisi ya wananchi.

Ameahidi kufanyia kazi hoja na mapendekezo yaliyowasilishwa na viongozi wa MABOA, ikiwemo kuongeza vituo vya muda kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria nje ya stendi, hatua itakayopunguza usumbufu kwa wasafiri na kuboresha mtiririko wa magari ndani ya mji.

Aidha, Irafay ametoa rai kwa wamiliki wa mabasi na wafanyakazi wao kuzingatia sheria na taratibu za usafirishaji, akisisitiza kuwa mabasi yote yanapaswa kuingia stendi rasmi na kuacha tabia ya kupakia au kushusha abiria kiholela, ambayo inaweza kuhatarisha usalama wa abiria na kuvuruga mpangilio wa usafiri.

Kwa upande wao, viongozi wa MABOA wamepongeza jitihada za halmashauri katika kuanzisha stendi hiyo ya kisasa, wakitambua kuwa ni hatua muhimu katika kukuza uchumi wa wilaya na kuboresha mazingira ya kazi kwa watoa huduma wa sekta ya usafiri na kuahidi kuendelea kushirikiana kwa karibu na halmashauri katika kuhakikisha kanuni za uendeshaji wa stendi hiyo zinafuatwa ipasavyo.

Stendi ya Katesh imejengwa kama sehemu ya mkakati mpana wa halmashauri ya Hanang wa kuboresha huduma za uchukuzi, kuimarisha miundombinu na kuongeza mapato ya ndani kupitia usimamizi makini wa sekta ya usafiri.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WATUMISHI WA UMMA June 06, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAILI June 06, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - HANANG DC October 22, 2024
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA HANANG 2023 December 03, 2022
  • View All

Latest News

  • HANANG YATOA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1.5 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    June 26, 2025
  • WANAWAKE MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUPITIA JUKWAA LA UJASIRIAMALI

    June 25, 2025
  • WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA ALIZETI WAJA NA MBINU THABITI NA RAFIKI WAKUTANA NA MKURUGENZI IRAFAY.

    June 16, 2025
  • KIKAO CHA DED HANANG NA UONGOZI WA WAMILIKI WA MABASI CHAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA HUDUMA KATIKA STENDI MPYA YA KATESH.

    June 16, 2025
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: +255 762 362 950

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.