• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SIKU 7 ZA MADAKTARI BINGWA HANANG', 918 WAPATA HUDUMA

Posted on: June 7th, 2025

Timu ya Madaktari Bingwa na Bobezi wa Mama Samia 6 walioweka kambi ya siku saba kuanzia Juni 2 hadi Juni 7, 2025 katika Hospitali ya Wilaya ya Hanang' (Tumaini), wamefanikiwa kuwatibu wagonjwa 918 huku wagonjwa 19 wakifanyiwa upasuaji.

Akizungumza katika hafla ya kuhitimisha kambi hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa hospitali ya Tumaini, Dkt. Losaru Lengarivo, Daktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Akina Mama kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, Kilimanjaro, amesema katika kipindi hicho wameweza kutoa huduma za kibingwa ikiwemo magonjwa ya watoto, uzazi na wanawake, tiba salama kwa wagonjwa mahututi, magonjwa ya moyo pamoja na afya ya kinywa na meno.

Aidha, madaktari hao wameushukuru uongozi wa Wilaya ya Hanang', uongozi wa Hospitali ya Wilaya, na kipekee Mkurugenzi wa Halmashauri kwa mapokezi mazuri na ushirikiano walioupata kipindi chote walipokuwa wakitoa huduma kwa wananchi.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang', Teresia Irafay, amewashukuru madaktari hao kupitia programu ya Madaktari wa Mama Samia kwa kuwa programu hiyo imeleta nafuu kwa wananchi wa Hanang' ambao awali walilazimika kutumia gharama kubwa na kusafiri nje ya Wilaya kufuata huduma za kibingwa.

Katika kuonesha shukrani kwa kazi kubwa waliyofanya madaktari hao, Mkurugenzi wa Halmashauri kwa niaba ya wananchi amewapatia zawadi kama sehemu ya kutambua mchango wao katika kutoa huduma bora kwa wananchi wa Hanang. 

Ameongeza kuwa, licha ya wananchi kupata huduma, pia wapo baadhi ya madaktari wa Hospitali ya Tumaini ambao wamepata ujuzi kutoka kwa madaktari hao bingwa. Hivyo, amewaomba kuendelea kuutumia ujuzi huo kuwahudumia wananchi kama ambavyo wamekuwa wakifanya siku zote.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WATUMISHI WA UMMA June 06, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAILI June 06, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - HANANG DC October 22, 2024
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA HANANG 2023 December 03, 2022
  • View All

Latest News

  • SIKU 7 ZA MADAKTARI BINGWA HANANG', 918 WAPATA HUDUMA

    June 07, 2025
  • HANANG YANG'ARA UMITASHUMTA 2025 NGAZI YA MKOA, YAONDOKA NA VIKOMBE SITA

    June 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA HANANG YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI.

    June 03, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA “MAMA SAMIA” WAANZA KUTOA HUDUMA HANANG KWA SIKU SABA.

    June 02, 2025
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: +255 762 362 950

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.