• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Hanang DIstrict Council
Hanang DIstrict Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mali Asili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma kwa Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Whe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Madiwani
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • On coming Project
    • On going Projects
    • Completed Projects
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA ALIZETI WAJA NA MBINU THABITI NA RAFIKI WAKUTANA NA MKURUGENZI IRAFAY.

Posted on: June 16th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Teresia Irafay, amekutana na wamiliki wa viwanda vya kuchakata alizeti katika wilaya ya Hanang kwa lengo la kujadili njia bora za kudhibiti na kusimamia ushuru unaotokana na zao hilo la biashara.

Katika kikao hicho, Mkurugenzi amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na halmashauri katika kuhakikisha mapato yote stahiki yanapatikana, huku akieleza kuwa usimamizi thabiti wa ushuru ni njia mojawapo ya kuongeza kipato cha halmashauri na kuchochea maendeleo ya wananchi.

Wakizungumza katika kikao hicho, wamiliki wa viwanda vya kukamua alizeti wameahidi kushirikiana kwa karibu na halmashauri pamoja na wadau wengine ili kuhakikisha kuwa serikali inakusanya mapato yote yatokanayo na mnyororo mzima wa thamani wa alizeti kuanzia shambani hadi kiwandani.

Wamesema kuwa wanaunga mkono jitihada za halmashauri katika kuweka mifumo madhubuti ya ukusanyaji mapato, na kuahidi kuwa watatoa ushirikiano wa karibu katika kuhakikisha hakuna upotevu wa mapato unaojitokeza katika sekta hiyo.

Zao la alizeti ni miongoni mwa mazao makuu ya biashara yanayolimwa kwa wingi wilayani Hanang, na lina mchango mkubwa katika uchumi wa wananchi pamoja na halmashauri kwa ujumla.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WATUMISHI WA UMMA June 06, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAILI June 06, 2025
  • TANGAZO: MAUZO YA DENGU NA MBAAZI KUPITIA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI MWAKA 2025 July 29, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - HANANG DC October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • MKURUGENZI HANANG AKUTANA NA WADAU WA STAKABADHI GHALANI, AAHIDI UBORESHAJI

    July 24, 2025
  • HANANG YAZINDUA ZOEZI LA HAMASA YA UCHANJAJI MIFUGO KWA RUZUKU YA SERIKALI

    July 24, 2025
  • LIGI YA SOKA WILAYA YA HANANG YAFUNGULIWA RASMI, DC HAZALI ACHANGIA MILIONI MOJA.

    July 22, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAPOKELEWA MKOA WA MANYARA

    July 12, 2025
  • View All

Video

Mh. Rais John Pombe Maghufuli akitoa onyo juu ya vyombo vya habari
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Leseni za Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi Portal
  • Tovuti yaUtumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali ya Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Manyara
  • Tovuti TAMISEMI
  • Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA)

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembelea Tovuti

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward

    Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'

    Telephone: 027-2530022 / 42

    Mobile: +255 762 362 950

    Email: ded@hanangdc.go.tz

Mawasiliano yetu

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.