TANGAZO LA UKODISHAJI WA MASHAMBA.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ inapenda kuwatangazia wananchi, vikundi, na taasisi mbalimbali fursa ya kukodisha mashamba yaliyopo katika maeneo ya Gawal na Bassotu kwa ajili ya shughuli za kilimo cha mazao ya chakula na biashara (mazao ya msimu).
· Fomu za Maombi zinapatikana Ofisi ya Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi, Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’.
· Mwisho wa Kupokea Maombi: Ijumaa, Septemba 19, 2025, saa 3:30 alasiri.
· Maombi yote yawasilishwe kwenye ofisi husika kabla ya tarehe na wakati uliopangwa.
Hanang' District Council Headquater located at the Northern part of Katesh town in Ganana Ward
Postal Address: P.O Box 02 Katesh-Hanang'
Telephone: 027-2530022 / 42
Mobile: +255 762 362 950
Email: ded@hanangdc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.