Posted on: February 15th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Hanang imefanikiwa kukusanya shilingi 223,467,058 kupitia tozo mbalimbali za minada katika kipindi cha miezi saba, kuanzia Julai 2024 hadi Januari 2025, hili ni ongezeko la as...
Posted on: February 13th, 2025
WILAYA ya Hanang leo imepokea ujumbe maalum kutoka serikali ya Ethiopia uliokuja kujifunza mbinu za serikali ya Tanzania katika kupambana na majanga ya asili.
Ujumbe huo umeongozwa na Naibu Kamishn...
Posted on: February 11th, 2025
Katibu Tawala wa Wilaya ya Hanang, Athumani Likeyekeye, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Teresia Irafay, leo wamekutana na maafisa elimu kata, watendaji wa kata na vijiji k...