Posted on: November 10th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Hanang’, Mhe. Almishi Isa Hazali, ameendelea na ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi, ambapo amefanya mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Muungano na kutembelea sham...
Posted on: October 16th, 2025
Wakulima wa Wilaya ya Hanang wamepata fursa ya kipekee ya kuendeleza kilimo cha kisasa baada ya kukabidhiwa matrekta 20 yaliyotolewa kwa mkopo na Kampuni ya KANU Equipment kwa kushirikiana na Taasisi ...
Posted on: October 16th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ imeendelea kuwajengea uwezo watumishi wake katika nyanja ya upangaji na uandaaji wa bajeti kwa kutumia mfumo wa PLANREP (Planning of Revenue and Expenditure Projection...